Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuwa kocha wa kikosi hiko mpaka mwaka 2022 kwenye fainali za kombe la Dunia kule Qatar.
Steve Holland, msaidizi wake naye amesaini mkataba mpya wa kuwa pamoja na Southgate ambapo mkataba wao wa awali ulikuwa unafikia tamati mwaka 2020.
0 comments:
Post a Comment