CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo ameweka wazi kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara inaweza kuendelea ifikapo Juni, lakini itachezwa bila mashabiki
Kasongo amesema kuwa uamuzi huo ni katika kutekeleza kauli ya Rais John Magufuli, aliyoitoa akiwa Chato, kuhusu Ligi kurejea ili wachezaji wafanye mazoezi ikiwa ni sehemu ya kujikinga na janga la Corona.
Sunday, May 3, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment