Kulingana na Takwimu mbalimbali za kuthaminisha wachezaji zimeibuka na Jibu moja la kumtaja Kylian mbappe kama chezaji ghali kwa sasa duniani.
Thamani yake ni Euros 218.5 , ambayo zaidi ya Euros 18.2m Juu ya Mshambuliaji wa Spurs Harry kane anayeshikilia nafasi ya pili.
Mchezaji mwenzie wa Psg Neymar jr anashikilia nafasi ya tatu akiwa na thamani ya Euros 197.2m.
WACHEZAJI WATANO GHALI DUNIANI:
1. Kylian Mbapoe. €218.5m
2. Harry Kane . €200.3m
3. Neymar jr. €197.1m
4. Raheem sterling. €185.8m
5. Mohammed salah. 184.3m
Lionel messi anashikilia nafasi ya saba akiwa na thamani ya €171.2m huku Cristiano Ronaldo anashikilia nafasi ya 19 akiwa na thamani ya Euro 127.2m.
[ chanzo Tranfer market & Marca ]
0 comments:
Post a Comment