Beki wa zamani wa Atletico madrid na aliyekuwa nahodha aliye ipatia kikombe cha la liga mwaka 2014 Gabi, amefunguka inshu nzima inayoendelea ndani klabu kuhusiana na mlinda mlango wao jan oblak.
Obla mwenye umri wa miaka 25 raia wa slovenia ana taka kuboresha mkataba wake ndani ya atletico, lakini alipo ulizwa siku za ugawaji tuzo za Marca na alichukua tuzo ya zamora kama kipa bora, alifunga mstakabali wa kutaka kuondoka.
The 25-year-old Slovenian is looking
"Oblak anisaidia kuipa alama atletiko madrid na kutafuta mlinda mlango anayeweza kufanya hivyo ni mhimu sana" alisema gabi
"nafikiliatletico itatumia nguvu ya ziada kubakiza na naamini hataondoka"
"ni mtu mhimu na atletico wanatakiwa kuwa na mlinda mlango kama Oblak"
"Na uhakika inabidi wa mpe mkataba mpya sasa, na sina wasiwasi wata fika makubaliano"
"wachezaji wote wanaendelea kulongezeka viwango na kuwatunza wachezaji hawa bora ndani ya klabu yenye bajeti ndogo ni kazi sana"
"inabidi kila mtu umlipe mshahara mkubwa"
"sasa waliamua kuwekeza kwa Antoine Griezmann, na sasa imehamia kwa Oblak, kesho itakuwa kwa saul Niguez na koke"
"Ni ngumu kwa sasa kutengeneza kikosi kizuri cha kihistoria na kukitunza, ina hitaji uwalipe kulingana na viwango vyao"
"itafikia mda ita sema sasa inatosha"
"siyo kwamba atletico haitaki kuboresha mikataba ya wachezaji ila inafanya kulingana na vyanzo vya mapato ilivyo navyo" Gabi
0 comments:
Post a Comment