Wednesday, May 6, 2020

Nyota wa Algeria na klabu ya Angers Farid El Mellali amekamatwa na polisi kwa kosa la kupiga punyeto kwenye bustani yake.

El Mellali  ana miaka 23 tu na katika utetezi wake amedai alijificha wakati akifanya kitendo hicho na hakujua kama majirani wanamwona. Kwa sasa ameachiwa kwa dhamana.

Ingawa ameachiwa bado jamhuri inamhitaji afike mahakamani. Anatarajiwa kupandiswa kizimbani na kupigwa faini.

Kisheria kupiga punyeto hadharani ni kosa,  Hata hivyo wakili wake amesema mteja wake Mellali alikuwa amejificha ila majirani wakawa wanapiga chabo.

 Hii sio mara ya kwanza kwa El Mellali kufanya hivyo, jirani mmoja anasema amewahi kumfumania akifanya hivyo muda wa usiku ila El Mellali akavunga.

2 comments: