Manchester united inaweza isi fanye usajiri kwa dirisha dogo likifunguliwa january.
Inasemekana jose mourinho hana mda tena wa kukaa na Ed wood anae husika na usajili ndani ya klabu kutokana na kushindwa kuleta wachezaji aliponga kuwa sajili dirisha majira ya kiangazi.
Mourinho alipeleka orodha ya majina ya walinzi anao wa hitaji akiwemo Eric
Maguire na Tom anderwild lakini majina hayo yali fyekelewa mbali.
Kwa sasa mourinho anakibarua kizito cha kuimarisha safu ya ushambuliaji na idara ya ulinzi kutokana na kuwa butu.
0 comments:
Post a Comment