Thursday, November 15, 2018

Klabu ya paris sant german kutoka nchini ufaransa imenasa kwenye mtego wa FiFa (FFP) unao zungumzia kanuni za usajili wa wachezaji.

Klabu ya psg inasadikika kuvunja kanuni FFP kupitia usajili wa Neymar kutoka barcelona na mbappe kutokea monaco. Wawili hao wamegharimu jumla ya paundi million 400.

Kama itakutwa na hatia italizimika kumuuza mmoja wapo. Na klabu ya real madrid ipo tayari kumsajili yeyote kati ya Neymar au Mbappe.

0 comments:

Post a Comment