Wednesday, November 14, 2018

Taarifa kutoka jiji la manchester united zinasema kuwa  klabu yao ipo mbioni kumnasa mchezaji wa australia anaye kipiga katika klabu ya west ham autonovic.

Wakala wa Autonovic anataka kwa sasa mchezaji wake akacheze klabu inayo shiriki uefa champions league.

Autonovic tayari amefunga magoli 5 kati ya mechi 10 msimu huu. Autonovic  alisajiliwa mwishoni mwa msimu uliopita akitokea stock city chini ya kocha david moyes kwa ada ya €29m.

0 comments:

Post a Comment