Wednesday, November 14, 2018

Klabu ya liverpool imetenga kiasi cha €85m kuinasa saini ya ousmane dembele wa barcelona.

Klop amepanga kukiongezea nguvu kikosi chake ili kiendele kuwa cha kishindani zaidi katika mbio za kuwania ubingwa wa epl msimu huu na misimu ijayo.

Dembele alisajiliwa na barcelona msimu uliopita akitokea borussia dortumund ya nchini ujerumani.

Dembele anaonekana kukosa nafasi ya kudumu katika klabu barcelona, pia ameenza kuleta mvutano na kocha uongozi wa camp nou kutokana na utovu wa nidhamu.

0 comments:

Post a Comment