Friday, November 2, 2018

Mwanasoka aliyekuwa akiichezea Klabu ya Juventus na Timu ya Taifa ya Italia, Vincenzo Iaquinta amehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa makosa ya kujihusisha na Kikundi la Mafia la Ndrangheta

Iaquinta emekutwa na hatia ya kumiliki vifaa vya milipuko kinyume cha sheria zikiwemo bunduki 2 na risasi 126

Aidha Baba wa Mwanasoka huyo Mstaafu, Giuseppe pia amehukumiwa pamoja naye kwa makosa hayo hayo

Iaquinta amesema atakata rufaa kwasababu ameharibiwa maisha bila ya sababu, ameongeza kuwa hukumu hii imetolewa kwasababu yeye ni Mtu wa Kusini mwa Italia lakini wanasahau ameshinda Kombe la Dunia mwaka 2006

0 comments:

Post a Comment