Thursday, December 6, 2018

Beki wa pembeni wa juventus ameongeza mkhataba wa kuitumikia club hiyo mpaka 2022.

Alex sandro mkhataba wake ulikuwa ukingoni mwishoni mwa msimu huu. Tayari vilabu kadhaa vilianza kuisaka saini yake kwa udi na uvumba lakini amefyekelea mbali ofa hizo.

Manchester united ,chelsea na psg viliongoza kwa tetesi ya kuisaka saini ya beki huyo.

Taarifa za ndani zinaeleza kuwa Sandro amegoma ofa nyingi sababu ni uwepo wa ronaldo katika klabu hiyo na kuiweka juventus katika hadhi juu na Tishio.

0 comments:

Post a Comment