Saturday, December 8, 2018

Kocha mkuu wa Yanga Mwinyi zahera afunguka machache kuelekeamchezo wa kesho dhidi ya biashara united kutoka mara.

"Wachezaji watatu wamerejea kwenye kikosi na watakuwa sehemu ya mchezo wa kesho,Papy Tshishimbi,Gadiel Michael na Kelvin Yondani."

"Wachezaji Ibrahim Ajibu na Mrisho Ngasa wao moja kwa moja hawatokuwa sehemu ya mchezo wa kesho ila Heritier Makambo ana asilimia 50 kwenye kushiriki mchezo wa kesho baada ya kupata maumivu kwenye mazoezi ya leo"

"Tumejiandaa vyema kuwakabili Biashara maana mara zote unapocheza na hizi timu ndogo amabazo zipo chini kwenye msimamo zinakamia sana ivyo tumejiandaa vyema kuwakabili"

Mwinyi Zahera - Kocha Mkuu

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 1:00 usiku pale kwa mchina uwanja wa taifa.

0 comments:

Post a Comment