kwa habari zilizo tufikia hivi punde zinaeleza kuwa sasa aliye kuwa kipa wa yanga Beno kakolanya Sasa ni mchezaji huru.
Beno aliandika barua yake kwa kamati ya utendaji ya Yanga akitaka asitishe mkhataba wake wakuitumikia klabu hiyo kutokana na kuwa na madai ya mda mrefu sana.
Kamati ya utendaji imeripotiwa kuipokea barua hiyo na kuamru kuachana naye. Kakolanya amekuwa katika mgomo kwa mda sasa akitaka apewe stahiki zake.
Hii sasa itampa nafasi kipa kinda ramadhani kabwili kung'ara endapo kipa namba mbili Kindoki hata onesha juhudi za kutosha.
Kakolanya alisajiliwa na Yanga akitokea timu ya wajela jela ya prison yenye maskani yake mbeya.
0 comments:
Post a Comment