Kupitia press conference iliyofanyika makao makuu ya klabu ya yanga leo hii kocha mkuu Mwinyi Zahera, ametoa ofa ya chakula cha mchana kwa waandishi wote wa habari za michezo walio hudhuria mkutano huo.
Kocha zahera mbali na yote aliyozungunza kwenye mkutano huo amesema waandishi wa habari za michezo Tanzania nimoja ya watu waliofanya nae kazi vizuri kwa mwaka 2018.
"Leo ni siku ya mwisho ya mwaka 2018 kwasababu hiyo naomba kushukuru watu wote waliofanya kazi nasisi vizuri kama yanga mkiwemo waanshishi wa habari.
"Tunaenda kuanza mwaka 2019 kama Yanga tukiwa tunaongoza ligi yote hii nikwasababu ya Wachezaji wangu ambao licha ya matatizo yote tuliyonayo wao wameyageuza kuwa furaha kwao na kuwapa furaha mashabiki. kwa kuendelea kushinda mechi zetu mpaka sasa tumeshinda 16 nawashukusru sana wachezaji wangu.
"Salamu zangu zingine za mwaka mpya ziende kwa mashabiki wa yanga, hawa watu ni hatari sana tunawashukuru sana. wako nasisi kila sehemu amemaliza kwa kusema hivyo..!!
0 comments:
Post a Comment