Kufuatia uchache wa wachezaji Yanga kocha mwinyi zahera amesema atajikita zaidi kwenye michuano yenye faida.
Zahera amesema kuna michuano kama Azam federation cup , ligi kuu, mapinduzi cup na sportpesa cup.
Yanga itajikita zaidi katika azam federation cup na ligi kuu , kuhofia usalama wa wachezaji wachache waliopo na kukosa makombe yote.
Zahera ameongeza kuwa wachezaji wake mhimu atawapumzisha akiwemo Makambo aliye pewa likizo tayari.
Uku akiangalia namna ya kuwa tumia juma mahadhi , papy kabamba, adrew vicent ambao ni majeruhi kwa sasa.
Zahera pia aliongekea kuwa Yanga ni tofauti na Azam na simba kwani wao wana wachezaji wengi na kikosi kipana.
0 comments:
Post a Comment