Mshambuliaji wa hudderfield Ramadan sabhi ya uingereza amethibitisha kurejea kwa mkopo katika klabu yake ya utotoni Al Ahly ya misri kwa mkopo wa miezi 6.
Sabhi ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wa wake twitter, na ameeleza amekuja kuja kuisaidia Al Ahly katika michuano ya klabu bingwa Afrika.
Sabhi kabla ya kutua hudderfield ametokea Stoke city iliyo shuka daraja msimu uliopita.
Al Ahly ipo kundi D ikiwa pamoja simba sc (Tanzania) , As vital (kongo) na Js Saouro ( Algeria)
Al Ahly watakutana na simba mwanzoni mwa mwezi wa pili nchini misri.
0 comments:
Post a Comment