Monday, January 14, 2019

KRC Genk ya Ubelgiji wamekataa ofa ya €13m pamoja na bonasi kutoka Cardiff City iliyopo ligi kuu ya England kwa ajili ya Mbwana Samatta, wameripoti France Football.

Samatta mwenye miaka 26 kwa sasa ndo kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu ya Ubelgiji akiwa amefunga magoli 15 kwenye mechi 20 na amefunga magoli 9 kwenye mechi 10 za Europa League msimu huu.

Cardiff inaonekana wamekata tamaa na wameelekeza nguvu zao kutaka kumsajili Emiliano Sala kutoka Nantes.

0 comments:

Post a Comment