Kuelekea mchezo klabu bingwa kati ya wenyeji simba sc dhidi ya Js saoura hizi ndizo takwimu zao kwa ufupi.
Simba katimicguano hiyo ya klabu bingwa msimu huu amecheza mechi 4. Ameshinda 3 ,Amepoteza 1.
Huku akiutumia vizuri uwanja wanyumbani kwa kushinda michezo yote 2.
Simba sc 4 - 1 mbabane swallows
Mbabane swallows 0 - 4 simba sc
Nkana fc 2 - 1 simba sc
Simba sc 3 - 1 nkana fc
Simba ipo nafasi ya 3 katika msimamo wa ligi kuu Tanzani ikiwa na alama 33 katika michezo 14.
Wageni Js saoura wao katilka michezo ya klabu bingwa Africa wamecheza michezo 4 wameshinda 2 watoka sare 1 wamefungwa 1.
Wakiwa hawana hali nzuri ugenini wamefungwa 1 na kutoka sare 1.
Saoura 2 - 0 sporting Gagnoa
Sporting Gagnoa 0 - 0 saoura
Saoura 2 - 0 Ittihad Tanger
Ittihad tanger 1 - 0 js saoura
Js saoura wao katika ligi kuu wapo nafasi 5 wakiwa na Alama 23 katika michezo 16 walio cheza.
Wachezaji wao nyota kwa upachikaji magoli ligi kuu.
Mohamed Boulaoudet 3⃣
Mohamed Hammia3⃣
Moustapha Djallit3⃣
Simba wanao ongoza kwa magoli Tpl
Emmanuel okwi 7⃣
Meddie kagere7⃣
John Bocco5⃣ (c)
Simba sc wana nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu wa leo kati ya point 10
Simba ana 7/ 3
Js saoura 3/ 7
0 comments:
Post a Comment