Klabu ya As Kigali ya Rwanda imemtimua kocha wake Masoud Djuma baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa klabu hiyo.
Masoud Djuma aliwahi kuwa kipenzi cha wanasimba sc. Lakini ujio wa patrick Aussems ulimwondoa klabuni hapo kufuatia kukosekana kwa maelewano baina yao wawili.
TAKWIMU ZAKE AKIWA NA AS KIGALI
Mechi 23
Ushindi 7
Vipigo 7
Sare 9
Alama 30
Nafasi kwenye msimamo 7
0 comments:
Post a Comment