Mshambuliaji wa Klabu ya Southampton, Shane Long ameweka rekodi mpya ya kufunga goli La mapema zaidi mnamo sekunde ya Saba, ni rekodi mpya ndani ya Ligi kuu uingereza.
Magoli yaliyofungwa haraka zaidi katika historia ya
⏱ Shane Long (Sekunde ya 7)
⏱ Ledley King (Sekunde ya 9.82)
⏱ Alan Shearer (Sekunde ya 10.52)
⏱ Christian Eriksen (Sekunde ya 10.54)
0 comments:
Post a Comment