Taarifa za chini chini kutoka ndani ya klabu ya Yanga sc zinadai tayari mchezaji DUKE DEUCES ABUYA kutokea klabu ya kariobange sharks ya nchini kenya alisha saini mkhataba wa awali kutumikia jangwani.
Abuya 25, ni miongoni wa kikosi cha Sharks kilichoiondosha Yanga kwenye Michuano ya Sportpesa Super Cup na yeye ndio alifunga Magoli Mwili Kati ya Matatu walioshinda.
Abuya atawasili siku chache zijazo kumalizana na Yanga sc tayari kwa kuichezea msimu ujao.
Nyota wengine wanao husishwa kutua Jangwani kutokea vilabu vya kenya ni Harrison Mwenda wa kariobange sharks na mlinda lango wa Bandari, Farouk Shikhalo.
0 comments:
Post a Comment