Saturday, April 27, 2019

Cristiano ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 600 kwa ngazi ya klabu tu kwa wachezaji wanaocheza soka la kulipwa.

Ronaldo amefunga magoli hayo katika ligi nne tofauti na timu.

MGAWANYIKO WA UFUNGAJI.

• Sporting de lisbon  5⃣

• manchester united 1⃣1⃣8⃣

• Real madrid 4⃣5⃣0⃣

• Juventus 2⃣7⃣

0 comments:

Post a Comment