Manchester city wamepigwa faini ya paundi €370,000 na FIFA kutokana kukiuka Sheria ya usajiri Kwa vijana wenye umri chi ni ya miaka 18.
Hivyo city hawata fungiwa kusajiri wala kushiriki UEFA CHAMPIONS LEAGUE. City walikumbwa na kesi hiyo kutokana na usajiri wa Jadon sancho ambaye kwa sasa anakipiga borussia dortimund ya ujerumani.
0 comments:
Post a Comment