NEYMAR JR KUTUA BARCELONA, NI SUALA LA MDA TU.
Leo asubuhi kulisambaa taarifa zilizo fafanua kuwapo kwa kikao jijini paris kilicho wakutanisha viongozi upande wa barcelona na Paris st. Geman agenda kuu ikiwa ni kujadili uhamisho wa mshambuliaji Raia w Brazil Neymar da santos jr.
0 comments:
Post a Comment