Thursday, August 29, 2019

Manchester united wamethibitisha mshambuliaji wao Alex sanchez atajiunga na klabu ya Inter milan kwa mkopo hadi 30 June 2020.

Katika mkhataba huo hamna kipengele kinacho waruhusu kununua moja kwa moja.

0 comments:

Post a Comment