Bondia Patrick Day amefariki dunia baada ya kupigwa kwa Knock out (KO) ya kibabe na Charles Conwell.
Patrick day alipigwa makonde mengi ya kichwani hadi kupelekea kukumbwa na tatizo kubwa katika ubongo wake.
Patrick Day alitolewa kwa usaidizi wa machela ulingoni.
Thursday, October 17, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment