Wednesday, October 16, 2019

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limeamua kutomuongeza mkataba mpya Boniphace Wambura katika  nafasi ya mtendaji mkuu wa bodi ya ligi aliyokuwa akiishikilia.

TFF imeamua kuendelea kumtumia  kama mkuu wa idara ya Habari na Masoko akisaidiwa na Cliford Ndimbo katika upande wa habari kama afisa mkuu wa kitengo hicho pamoja na Aaron Nyanda kama afisa mkuu wa kitengo cha masoko.

Inasenekana aliye kuwa C.E.O wa simba Crescentius Magoli anatajwa kuchukua nafasi hiyo.

0 comments:

Post a Comment