Saturday, October 19, 2019

Fred felix Miziro ametambulishwa hii leo kuichukua Pamba fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza msimu huu.

Miziro kabla ya kujiunga na pamba fc alikuwa kocha mkuu wa singida united iliyopo ligi kuu.

Miziro amewahi saidia vilabu kadhaa kupanda ligi kuu ikiwemo singida united na biashara united ya mara
, lakini hana historia nzuri akiwa liguu kuu.

0 comments:

Post a Comment