Saturday, October 19, 2019

Mshambuliaji kinda wa atletico madrid atalazimika kukaa njee ya uwanja kwa mda wa wiki tatu kufuatia kukumbwa na majeraha ya kifundo cha mguu.

joao ameumia katika mchezo ulio wakutanisha atletico madrid na valencia katika dimba la wanda metropolitano na mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1 - 1.

Joao alitolewa zikiwa zimabakia dakika 10 mchezo umalizike na kuwa lazimu atletico wasalie kumi uwanjani kwa sababu walikuwa tayari walisha fanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mjibu wa kanuni na taratibu za soka.

0 comments:

Post a Comment