Wednesday, December 20, 2017

Mrembo hamisa mobetto ametua nchi uganda asubuhi ya leo kwa ajili ya show aliyo andalia na don wa uganda itakayo fanyika kesho kutwa.

Na ni siku tatu tangu mrembo zari atue nchini humo kwa ajili ya show yake ya zari white party inasemekana itakuwa kesho.

Vita imeanza ya maneno mitandaoni kutokana na warembo hao kutoelewana na wote ni  wazazi wenza wa daimond platinum.

Je ni nanii atajaza show yake jambo linalo subiriwa kwa hamu sana.

0 comments:

Post a Comment