Wednesday, December 20, 2017

Hakuna kocha anayemzidi Jose Mourinho kwa kushinda mataji ya EFL Cup amebeba mataji ya michuano mara 4

Akiwa na Chelsea amebeba mara 3 mwaka 2005, 2007 na 2015  kisha msimu uliopita na Manchester United.

Leo anaiongoza United katika robo fainali ya michuano hiyo vs Bristol City katika dimba la Old Trafford.

Pogba ametajwa kuwepo Karola mchezo waleo utakao pigwa majira y'a saa tano kasoro afrika mashariki

0 comments:

Post a Comment