Habari mbaya kwa mashabaki wa arsenal. Mshambuliaji oliver Giroud atakosekana hadi mwezi wa pili.
Giroud aliumia kipindi cha pili ya mchezo dhidi ya west ham carabai cup. Arsenal waliibuka washindi kwa ushindi mwembamba wa goli moja.
Asenal wenger "maumivu ya mepona ila ana jeraha kubwaa"
0 comments:
Post a Comment