Kwa mda mrefu real madrid wali husishwa kumtaka mshambuliaji pierre aubeyaung wa Dortmund. Lakini timu hiyo haikuwa tayari kumuachia.
Mshambuliaji huyo ameibuka na kusema sasa hana matumaini ya kutua real madrid lakini ana matumaini ya kuziba pengo litakalo achwa na griezmann atletico madrid.
0 comments:
Post a Comment