Tuesday, December 26, 2017

Kama ulikuwa hujui mohamed salah msimu huu yuko juu zaidi ya hazard kwa misimu yote aliyo itunikia chelsea.

Salah amefanikiwa kufunga zaidi ya magoli 20 mpaka sasa. Hazard hajawahi fikisha magoli  idadu iyo msimu wa krismasi.

Mengine usiyo yajua kuhusu salah

‪Mohamed Salah amefanya mengi katika mji aliozaliwa Nagrig.‬

‪Amenunua vifaa vya Gym ambayo itatumika na jamii nzima ya eneo hilo, anajenga uwanja mzuri wa mpira wa miguu katika shule aliyosoma ya Mohamed Tantaway.‬

‪Anawasaidia pesa wapenzi (couples) ili waweze kufunga ndoa. ‬

0 comments:

Post a Comment