Baada ya kuambulia alama 2 kati ya 6, United inashuka tena dimbani kwenye uwanja wa Old Trafford kuikabili klabu ya Southampton.
Vijina hao wa Jose Mourinho wapo nyuma ya alama 15 dhidi ya vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City, pia wakisogolewa kwa karibu na Chelsea anayeshika nafasi ya tatu.
Mchezo huu ni muhimu sana kwa Manchester United kwa ajili ya kurejesha faraja na imani kwa mashabiki na bodi ya United, baada ya kutoambulia ushindi katika mechi tatu za mashindano yote
0 comments:
Post a Comment