Ali kiba tayari alisha fika rwanda kwa ajiri ya show kali ya kufungua mwaka mpya itakayo fanyika njee ya uwanja wa nyamahoro stadium . Awali ilikuwa ifanyike ndani ya uwanja lakini kufuatia muingiliano na shughuli nyingine za kimichezo show hiyo ikapelekwa njee kwenye uwazi mkubwa.
Tazama mapokezi yalivyokuwa usisahau kusubcribe youtube channel yetu
0 comments:
Post a Comment