Saturday, December 30, 2017

Mshambuliaji erdison cavani amefunguka na kuhusu uhusiano wake me Neymar ndani ya klabu ya psg pamoja na wachezaji wenzake. Alipofanya mahijiano na mtandao wa telegram.

Cavani amefunguka na kusema anauhusiano mzuri tu na neymar tofauti na watu wanavyosema na wanavyo hisi. Amedai yote hii nikutokana na kudambaa kwa taarifa zisizo sahihi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Cavan alipo ulizwa kuhusu klabu yake ya psg alijibu  "psg ni klabu kubwa na bora kwa sasa duniani, sitamani kuondoka nitabaki," 

  "ningumu sisi kushinda kombe la vilabu bingwa ulaya (UEFA champion league) lakini tunajiamin tutashinda, kwa sasa tunaangazia kushinda kwanza kombe la ligi".

0 comments:

Post a Comment