Inasemekana yanga ndiyo timu ya kwanza kufikisha point 50 kabla ya mzunguko wa kwanza kumalizika.
Mpaka sasa hawajapoteza mchezo hata mmoja uku akitoa sare michezo miwili katika uwanja wa Taifa.
Yanga hawaja acha alama hata moja katika viwanja vya ugenini.
Sasa yanga ana point 50 na magoli 35.
Huku Makambo akiongoza kwa ufungaji akiwa na magoli 11.
Ajibu anaongoza kwa kupiga pasi za goli akiwa amefanya hivyo mara 12.
Ajibu ndiye mchezaji aliye husika katika magoli mengi ligi kuu Tanzania bara. Amehusika katika magoli 17.
0 comments:
Post a Comment