Katika tuzo za Marca hii Leo, Lionel Messi amechukua tuzo ya mchezaji bora wa La liga na Iniesta amechukua kama Most Valuable player wa hispania.
Marca ni mtandao mahasusi kwa Jili ya taarifa za soka nchini uhispania. Na ndilo linalo ongozwa kusomwa uhispania.
0 comments:
Post a Comment