Jose mourinho amejitoa kwenye mbio za kumsaka mfaransa antonio griezmann mara baada ya barcelona kuongeza nguvu za kumsaka.
Gazeti la marca limeripoti kuwa mourinho ameshindwa kumshawishi mshambuliaji huyo. Barcelona wamesha muwekea dau la €100m sawa na manchester united.
Thursday, December 28, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment