Salah ameibuka na kusema anataka vikombe akiwa na liverpool kupitia mahojiano aliyo fanya na skysports.
Salah "nataka kushinda vikombe nikiwa hapa hapa, nimekuja kwa ajili ya vikombe kushinda kituflani kwa klabu pamoja na mashabiki."
" napenda kushinda nikiwa hapa hapa , tunafanya kazi kubwa kuhakikisha tunashinda , nauhakika tutashinda"
0 comments:
Post a Comment