Club ya bayern munich imethibitisha kumsajili mshambuliaji wa hoffeheim sandro wegner kwa ada ya €13m.
Sandro ni zao la kituo cha kukuzia vipaji cha bayern munich (munich football academy). Aliondoka klabuni hapo mwaka 2008.
Amepitia vilabu vingi sana ikiwemo wender bremen, darmstadit, hertha berlin , haffeheim na sasa amerudi nyumbani.
Sandro amesaini mkhataba wa miaka miwili na nusu wa kuitumikia bayern na ataanza kazi january. Lakini pia amekabithiwa jezi namba mbili.
Mukurugenzi wa bayern munich hassan salihamidzic amesema
"tumeongeza staa mwingine wa kijerumani, kwa sandro tunaamini anakiwango sasa cha kuitumikia bayern munich"
0 comments:
Post a Comment