Klabu ya azam fc imefanikiwa kutetea kombe lake kwa mara nyingine tena. Azam walitinga fainali kwa kuiondosha singida united huku URA wakimwondosha yanga.
Fainali hiyo ili lazimika kwenda kuamliwa kwa mikwaju ya penati kutokana na timu hizo kutoka sare ya kutofungana ndani ya dakika 90.
Azamu walibuka washindi kwa kupata mikwaju 4 dhidi ya 3 ya URA.
Home
»
»Unlabelled
» Azam watwaa kombe la mapinduzi kwa mara nyingine
Saturday, January 13, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)









0 comments:
Post a Comment