Mshambuliaji Amissi Tambwe mchana huu amelazimika kuondoka kambini mjini Zanzibar kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi kufuatia kusumbuliwa na homa.
"Ana malaria,kwa siku zaidi ya nne sasa amekuwa na wakati mgumu, tumelazimika kumrejesha Dar ili apate matibabu zaidi" - Dr Bavu
0 comments:
Post a Comment