Tuesday, January 9, 2018

Kelechi Iheanacho  huenda akauzwa na klabu ya Leicester City licha ya kusajiliwa mwezi Agosti mwaka jana.

Claude Puel  amekiri kwamba ana washambuliaji wengi sana katika klabu yake na taarifa kutoka Sky Sports zinasema kwamba Leicester wapo tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya Iheanacho, Leonardo Ulloa na Ahmed Musa.

0 comments:

Post a Comment