Monday, May 14, 2018

Bernad Arthur raia wa Ghana mchezaji wa Azam FC amevunja mkataba wake na klabu ya Azam FC .

Bado sababu ya kuvunja mkataba huo haijawekwa wazi.

Bernad arthur alijiunga na azam fc mwanzoni mzunguko wa pili  lakini mambo yame mwendea kombo katika kuzifumania nyavu.

0 comments:

Post a Comment