Monday, May 21, 2018

Leo alfajiri tumeshuhudia fainali nzuri ya nba kutoka upande wa mashariki celtic waliwakaribisha cavs.

Cavs kupitia mchezaji mkongwe rebron james waliweza kuibuka na ushindi wa vikapu 111  kwa vikapu 102.

Hivyo kuifanya cavs kusawazisha matokeo kwa kushinda michezo 2 kama celtic walivyo shinda.

Endapo cavs au celtic atashinda michezo miwili mfululizo basi atakuwa bingwa wa mashariki na atakutana na bingwa wa magharibi kati ya rocket au golden state worries.

0 comments:

Post a Comment