Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Ujerumani Joachim Low amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuifundisha timu hiyo mpaka mwaka 2022, na kuzima tetesi zilizokuwa zikimhusisha kuchukua nafasi ya Arsene Wenger katika klabu ya Arsenal.
Awali Joachim Low alikuwa akihusishwa na vilabu vya Arsenal, Chelsea, PSG pamoja na Real Madrid hivyo sasa ni wazi kwamba ataendelea kusalia na mabingwa wa kombe la Dunia 2014.
0 comments:
Post a Comment