Tarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna fununu kuwa Muigizaji maarufu nchini Tanzania Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ameachiwa huru na inaripotiwa tayari ametoka Gerezani.
Chanzo chetu cha habari hakijaeleza kama ametoka kwa msamaha wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli uliotoka tarehe 26 mwezi wa 4 au alikata rufaa na ameshinda au yupo nje kutumikia kifungo cha nje kwa Mujibu wa Sheria...Kama Umefurahi Lulu kuachiwa huru.
0 comments:
Post a Comment