Thursday, May 24, 2018

Mauricio Pochettino amezima tetesi zote zilizokuwa zinahusu mustakabali wake ndani ya Tottenham kwa kusaini mkataba mpya wa miaka mitano.

Hiyo ina maana kwamba Muargetina huyo atabaki White Hart Lane mpaka mwaka 2023 na kufikisha maisha yake ndani ya klabu hiyo miaka tisa.

Jopo lote la makocha Jesus Perez, Miguel D’Agostino na Toni Jimenez nao wote wamesaini mikataba mipya.

0 comments:

Post a Comment